TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Mary Lynn Rajskub

The Typologically Different Question Answering Dataset

 Mary Lynn Rajskub (muda mwigine hujiita kama Marylynn Rajskub)  (amezalia tar. 22 Juni 1971) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huyu ni msanii na mchekashaji wa vitimbi vya kusimama. Ana asili ya Kicheki na Kiireland. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Chloe O'Brian kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Mary Lynn Rajskub alizaliwa mwaka upi?

  • Ground Truth Answers: 1971197122 Juni 1971

  • Prediction: